Mahakama yazuia uagizaji wa mchele zaidi kutoka ng'ambo, yaruhusu tani 250,000 pekee

  • | Citizen TV
    115 views

    Mahakama Kuu imeruhusu uagizaji wa Tani 250,000 za mchele kutoka ng'ambo kwa miezi mitatu ijayo na wala sio Tani 5000,000 kama ilivyokuw aimepangwa na serikali. Aidha Jaji Edward Muriithi ameitaka serikali kuwasilisha mahakamani ripoti maalum kuhusu kiwango cha mchele uliopo nchini