Mahusiano ya kimataifa | Kenya na Oman kudumisha ushirikiano

  • | KBC Video
    15 views

    Kenya na Oman zitaendelea kushirikiana katika sekta mbali mbali zinazolenga kushughulikia maslahi ya raia wa nchi zote mbili. Akiongea jijini Nairobi wakati wa Makala ya 52 ya sherehe za kuadhimisha siku kuu ya kitaifa ya Oman, afisa wa mahusiano kwenye ubalozi wa taifa hilo nchini Kenya Said Mohammed Al Amri alisema mataifa hayo mawili yamepiga hatua kubwa za ushirikiano katika nyanja za utamaduni , uchumi , siasa na kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #Oman