- 12,062 viewsDuration: 52:06Huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, mchimbaji madini anachimba akifuatilia ndoto zake, akitumaini kwamba “dhahabu ya kijivu” ya coltan, inayotumika katika vifaa vingi vya kielektroniki vya leo, inaweza kuiunganisha tena familia yake. #bbcswahili #drc#madini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw