Maisha ya familia moja chini ya utawala wa Warusi

  • | BBC Swahili
    1,397 views
    Tangu Urusi ilipoteka mji wa kimkakati wa Kherson nchini Ukraine mnamo mwezi Machi, mawasiliano katika jiji hilo yamedhibitiwa vikali, na kufanya iwe vigumu kwa watu kufahamisha ulimwengu wa nje hali inayowakabili. Mwandishi wa habari na mkazi wa Kherson Dmytro Bahnenko alirekodi kwa siri hali ya familia yake chini ya wanajeshi wa Urusi kupitia uchunguzi wa BBC Eye. #bbcswahili #ukraine #urusi