Majaji wataka raia wajifahamishe kuhusu mahakama

  • | Citizen TV
    188 views

    Majaji wa mahakama ya Bungoma kupitia ufadhili wa serikali ya Kenya na ile ya finland kuhusu mpango wa kukabili dhulma za kijinsia Katika jamii wameandaa Warsha ya kujumuika na Umma lengo likiwa kuwafahamisha wananchi namna ya kupata haki wanapokuwa na kesi kotini.