Skip to main content
Skip to main content

Majaji watano watengua ushauri wa Maraga kuhusu uwakilishi wa jinsia

  • | Citizen TV
    267 views
    Jopo la majaji watano limefutilia mbali ushauri uliotolewa kwa Rais MNAMO MWAKA 2020 na aliyekuwa Jaji mkuu wakati huo David Maraga kuhusu kuvunjiliwa mbali kwa bunge kwa kukosa kuunda sheria ya kutekeleza matakwa ya Katiba kuhusu uwakilishi wa thuluthi mbili ya jinsia moja. Majaji wakisema ushauri huo ulikuwa kinyume cha sheria.