Majambazi watatu kujisalimisha Kap Kobil, Kerio Valley.
Silaha kukabidhiwa kwa mamlaka kama ishara ya amani.
Majambazi hao wazungumza mbele ya kamera kuhusu maisha ya uhalifu.
Hatua ya kujisalimisha yachukuliwa kama mwanzo wa mabadiliko Kerio Valley.
Viongozi wa usalama na wazee wa jamii kushuhudia tukio hilo.
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__