- 15,545 viewsDuration: 3:21Hisia zilitanda wakati wa hafla ya wafu iliyoandaliwa kwa marehemu mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno na waathiriwa wengine wanne wa ajali ya ndege iliyotokea huko Nandi. Maelfu ya wakazi wa eneobunge la Emurua Dikirr walijitokeza kupokea maiti, huku waliohutubu wakiendelea kuzungumzia kwa wema maisha ya mbunge Ng'eno na wenzake walioangamia jumamosi iliyopita. Chrispine Otieno amekuwa kaunti ya Narok na kutuandaliwa taarifa ifuatayo