Makahama inatoa uamuzi kuhusu ombi la kuondoa mashtaka ya naibu rais

  • | Citizen TV
    747 views

    Mahakama inatoa uamuzi wake kuhusu kumwondolea mashtaka naibu rais rigathi gachagua kufuatia ombi na mkurugenzi wa mashtaka kuhusiana na ushahidi katika kesi hiyo. hapo jana upande wa mashtaka ulikiri kuwa hauna ushahidi w akutosha kuendelea na kesi hiyo. gachagua anatuhumiwa kwenye kashfa ya shilingi milioni 27.4.