Makala maalum: Mafuta ya kupika kuzalisha dizeli

  • | TV 47
    8 views

    Kwa miongo kadhaa sasa karatasi na plastiki zimetawala sekta ya kuchakata tena kwa vile bidhaa zilizosiagwa hutumika kama malighafi ya bidhaa.

    Lakini je, unajua kwamba mafuta yako ya jikoni uliyotumia yanaweza kuzalisha dizeli ya kibayolojia?

    Haya ni makala maalum kuhusu kampuni ya kukusanya mafuta taka ambayo inazalisha dizeli kutoka kwa mafuta ya kupikia.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __