Makamu wa Rais wa Marekani atangaza miradi mbalimbali katika ziara yake Tanzania

  • | VOA Swahili
    3,212 views
    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ameendelea na ziara yake nchini Tanzania ambapo ametangaza miradi mbalimbali ili kuisaidia nchi hiyo. Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha Kenya na kutaka haki itendeke katika mfumo wa uchaguzi yameendelea. #makamuwarais #marekani #kamalaharris #tanzania #rais #samiasuluhuhassan #voa #voaswahili #dunianileo Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.