- 1,674 viewsDuration: 2:42Muungano wa viongozi wa makanisa ya Kipentekoste nchini umetangaza marufuku kwa viongozi wa kisiasa kutoa hotuba zao kwenye madhabahu. Viongozi hao wanasema wamechoshwa na matamshi ya kukera ya matusi na chuki ambayo yanatolewa na wanasiasa, na yanayochochea mgawanyiko nchini badala ya kuliunganisha taifa.