Makanisa yasaidia kuwaelimisha wanajamii kuhusu maadili kaunti ya Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    102 views

    Serikali imetakiwa kusaidia jamii zinazoishi katika maeneo ya wafugaji kujenga makanisa ili kuimarisha maadili pamoja na kuendeleza elimu katika maeneo hayo.