Makanisa yataka mpangilio bora kuhusu mazungumzo

  • | Citizen TV
    951 views

    Baadhi ya makanisa nchini sasa yanataka mazungumzo ya kitaifa yaliyopendekezwa kufanywa kwa mpangilio na kuwajumuisha vijana na serikali. Baadhi ya viongozi hawa wanaojumuisja kanisa la Kianglikana wanasema taifa lipo njia panda na ni lazima viongozi wawajibike sasa.