Skip to main content
Skip to main content

Makatibu wa serikali waongoza uhamasisho kuhusu mpango wa NYOTA

  • | KBC Video
    158 views
    Duration: 5:03
    Serikali imeimarisha juhudi za kitaifa za kuwasajili vijana zaidi katika mradi wa NYOTA, unaolenga kuwapa vijana ujuzi , mtaji wa kuanzisha biashara na uzoefu wa kazi ili waweze kujitegemea. Makatibu waliongoza juhudi za uhamasisho katika kaunti za Baringo, Kisumu,Homabay,Kericho, Isiolo, Uasin Gishu and Narok akitoa wito kwa vijana kutumia nafasi hiyo kusajiliwa kabla ya kipindi cha usajili kukamilika tarehe 12 mwezi huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News