Skip to main content
Skip to main content

Makavazi ya kitaifa yahamasisha kuhusu upanzi wa mboga huko Nandi

  • | Citizen TV
    433 views
    Duration: 3:16
    Watafiti, wakulima, walimu Pamoja maafisa kutoka makavazi ya kitaifa walikongamana katika kituo cha kutoa mafunzo kwa wakulima cha Kaimosi kaunti ya Nandi kupata mafunzo jinsi ya kuimarisha uzalishaji na matumizi ya mboga za kienyeji. Mpango huo unaoitwa “Afya Asilia shuleni”, unalenga kuongeza ufahamu kuhusu thamani ya lishe na urithi wa kitamaduni wa mboga za kienyeji kama vile managu, terere, saga, na kunde.