Makocha Nandi wataka AK na wizara kukarabati viwanja kukuza vipaji

  • | NTV Video
    192 views

    Baadhi ya makocha na wanamichezo katika kaunti ya Nandi wanataka Shirikisho la Riadha nchini AK na Wizara ya Michezo kuanza kukarabati viwanja katika maeneo mbalimbali ili kukuza vipaji zaidi Mashinani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya