Makombora yarushwa kuelekea Gaza

  • | VOA Swahili
    254 views
    Makombora yarushwa kuelekea Gaza. Tunashambulia kuwasaidia wanajeshi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, kupambana na Hamas. Tunashambulia kwa usahihi, kwa usahihi kabisa kwa uratibu tuliopewa na maafisa wetu walioko huko, huka Ukanda wa Gaza. Tunafanya kila tuwezalo kuepuka vifo vya raia. Hatutaki raia yeyote kuumia. Kinyume na Hamas, ambao wanatumia watu wao wenyewe kama ngao ya kibinadamu. Hamas ni kama ISIS (Islamic State nchini Syria), na kama hatuwatokomezi Hamas hivi leo, vitisho na majanga ya Oktoba 7 yatatokea tena. Kwahiyo tuko hapa kuitetea nchi yetu na familia zetu.” #Gaza #Israel #Hamas #Makombora #ISIS #Palestina