Makovu ya maandamano ya Gen Z

  • | Citizen TV
    3,207 views

    Waathiriwa zaidi wa maandamano wanaendelea kuuguza majeraha ya risasi huku wakiapa kurejea tena mitaani tarehe nane mwezi wa nane wakisema kuwa serikali imeshindw akutekeleza matakwa yao. aidha wameghadhabishwa na hatua ya serikali kutowachukulia hatua maafisa wa polisi waliotumia nguvu kupita kiasi wakati wa maandamano