- 246 viewsDuration: 3:22Wanafunzi 81 kutoka familia zisizojiweza na waliofanya vyema katika mtihani wa kidato cha 4 mwaka jana wamepata ufadhili wa elimu yao yote ya vyuo vikuu na serikali ya kaunti ya Makueni huku serikali ikitakiwa kupunguza gharama ya elimu ya vyuo vikuu kwani wazazi wengi wameshindwa kumudu gharama hiyo.