Makundi mawili yazozania ugavi wa ardhi Narok Kusini

  • | KBC Video
    28 views

    Mvutano ulishuhudiwa katika eneo la Ngosuani katika eneo bunge la Narok Kusini baada ya makundi mawili pinzani kuzozana kuhusiana na shughuli ya ugavi wa ardhi. Ubishi ulizuka wakati wa shughuli rasmi ya ugavi wa ardhi ya ekari 110 kwa wamiliki wapya mia tano kufuatia uamuzi wa hivi majuzi wa mahakama. Wakati wa suitafahamu hiyo, mtu mmoja aliuguza majeraha mabaya ya kichwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive