Malipo ya pensheni na kiiunua mgongo hayatatozwa ushuru

  • | KBC Video
    124 views

    Watu waliostaafu na wafanyakazi wanaopata marupirupu wamepata afueni baada ya rais William Ruto kutangaza kuondolewa kwa ushuru kwa malipo hayo. Ruto, aliyeongoza nchi katika kuadhimisha sherehe za 60 za sikukuu ya leba jijini Nairobi, pia alisema kuwa waajiri sasa watahitajika kisheria kuitisha kuondolewa kwa ushuru kwa wafanyakazi wanapowasilisha taarifa za ushuru kwa halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini. Mwanahabari wetu John Jacob Kioria anatuarifu zaidi kuhusiana na vishawishi vya rais kwa wafnayakazi na biashara kwa lengo la kuimarisha mapato yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News