Skip to main content
Skip to main content

Malipo ya wakulima wa kahawa yafika Ksh.7.4b Kirinyaga

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 2:08
    Wakulima wa kahawa kaunti ya Kirinyaga wanasherehekea baada ya mapato yao kufikia kiwango cha kihistoria cha shilingi bilioni 7.4 msimu huu. Malipo yalifikia kati ya shilingi 104 hadi 157 kwa kilo ya kahawa, huku wastani ukiwa shilingi 139 kwa kilo. Mafanikio hayo yanahusishwa na mageuzi ya usimamizi, pembejeo za ruzuku, mafunzo kwa wakulima na kuboreshwa kwa masoko ya kahawa.