Malkia Máxima wa Uholanzi azuru kituo cha afya cha Zamzam, Ngong

  • | Citizen TV
    309 views

    Malkia wa Uholanzi anayezuru nchini Maxima Zorreguieta hapo jana alipata fursa ya kuzuru moja wapo ya vituo vya afya vilivyofanikiwa kujiendeleza kutokana na mkopo unaolenga wafanyibiashara wadogo katika sekta ya afya. Malkia huyu amekuwa nchini kwa siku tatu sasa.