Mama ‘Mary Maria’ atumia ucheshi kutatua mizozo ya kijamii katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    108 views

    Tuelekee kaunti ya Trans-Nzoia ambako mama mmoja amepewa jina la Mpatanishi kutokana na weledi wake wa kutatua mizozo kwa kutumia ucheshi.