Skip to main content
Skip to main content

Mama mmoja aliuwawa kwenye makazi yao mtaaani Kilimani

  • | Citizen TV
    6,916 views
    Duration: 3:32
    Maafisa wa polisi wanawazuilia washukiwa watano wenye asili ya Sudan kuhusiana na kifo cha kutatanisha kwa mama mmoja aliyekuwa akiwafanyia kazi katika makazi yao mtaani Kilimani nairobi. Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa Zaituni Kavaya, anayeripotiwa kuanguka kutoka ghorofa, alikuwa na majeraha mwilini ambayo yalitokana na kugongwa na kifaa butu.