6 Feb 2026 10:12 am | Citizen TV 50 views Mama mmoja kutoka kijiji cha Bula viungani mwa mji wa Garissa, analilia haki baada ya kesi yake ya ulaghai wa ardhi kukosa kuwasilishwa mahakamani kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.