Mama wa Taifa apigia upatu kilimo cha bustani

  • | KBC Video
    5 views

    UTOSHELEVU WA CHAKULA

    Taasisi za elimu humu nchini zimepewa changamoto kutumia nafasi zilizopo kutekeleza kilimo cha kisasa kama hatua muhimu ya kuongeza akiba ya chakula humu nchini. Mama wa Taifa bi Rachael Ruto anasema ongezeko la idadi ya watu mijini ni tisho kwa kilimo na upatikanaji wa chakula, hivyo basi kuna haja ya kukumbatia kilimo cha bustani.

    #DarubiniWikendi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive