Mamba aingia katika bwawa la kuogelea la nyumbani

  • | BBC Swahili
    1,054 views
    Tazama namna Mamba huyu wa futi 10 (m 3) alivyotolewa baada ya kugundulika kuwa ameingia katika bwawa la kuogelea la nyumba moja huko Florida nchini Marekani Todd Hardwick na Jeff Peterla walifanya kazi ya kumvuta mamba huyo kutoka kwenye bwawa na kumdhibiti wakisaidiwa na afisa wa polisi. Baadaye waliweza kumrudisha kwa usalama kwenye makazi yake. #bbcswahili #marekani #florida