Skip to main content
Skip to main content

Mambo matatu wanayoyataka Gen Z kwenye maandamano

  • | BBC Swahili
    14,217 views
    Duration: 1:49
    Maandamano ya Gen Z kutoka Kenya hadi Morocco, Nepal hadi Peru, na sasa Madagascar, Wote hawa wamekuwa na mambo matatu makuu ambayo wamekuwa wakiyataka na hivyo kuwajibisha viongozi na serikali zao. @sammyawami anayaangazia maandamano hayo - - #bbcswahili #genz #siasa #maandamano #kenya #nepal #morocco