Mamia wafanya maandamano kuunga mkono ushuru wa nyumba

  • | Citizen TV
    2,262 views

    Mamia ya vijana wameandamana leo jijini Nairobi kuunga mkono mpango wa serikali wa nyumba za bei nafuu. Vijana hao wakiwemo wahudumu na wataalam wa ujenzi, wamelalamikia uamuzi wa mahakama uliositisha ushuru wa nyumba hizi wakisema wamekuwa wakifaidi nao.