Mamia ya wafanyakazi wanakadiria hasara ya ubomozi huko Bungoma

  • | Citizen TV
    379 views

    Mamia ya Wafanyibiashara mjini Bungoma Na kanduyi wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya serikali ya kaunti kuanza ubomoaji wa vibanda na majumba yaliyojengwa kwenye ardhi ya serikali.