- 76 viewsDuration: 1:39Mamia ya wagonjwa kutoka hospitali ya rufaa ya Kisii na zile za kibinafsi wanakila sababu ya kutabasamu baada ya Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati kuwapa zawadi kochokocho za Krismasi . Akizungumza ndani ya hospitali ya rufaa ya Kisii, Arati alitoa wito kwa wakenya wote kuonyesha upendo wakati huu hususan kwa wasiojiweza katika jamii . Sherehe hizo vile vile zilishamiri vijijini mamia ya wenyeji wa Rigoma wakipewa zawadi za krismasi.