23 Mar 2026 10:14 am | Citizen TV 6,532 views Duration: 4:31 Watu kadhaa wamekwa nyumbani kwao viungani mwa jiji la Eldoret baada ya mto Sosiani kuvunja kingo zake na kuelekeza maji katika maeneo ya makazi.