Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya watu watibiwa bila malipo hospitalini Alupe

  • | Citizen TV
    622 views
    Duration: 3:44
    Umasikini katika eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia umewakosesha wakazi wa eneo hilo fursa ya kupata huduma za afya hospitalini wengi wao wakisalia nyumbani wakiugua... Haya yalibainika wakati wa kambi ya matibabu ya bure katika hospitali ya rufaa ya Alupe, ambapo maelfu ya wakazi wakijitokeza kupata huduma