Mamilioni ya samaki wakufa ziwani Victoria

  • | Citizen TV
    429 views

    Wafugaji wa samaki wa vizimbani katika ufuo wa Ogal kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja, kufuatia vifo vya mamilioni ya samaki hao. Wafugaji hao sasa wameamua kuondoa samaki hao na kuwauza ili kuepuka hasara zaidi.