Mamlaka ya KRA yasema itaboresha ukusanyaji ushuru

  • | Citizen TV
    344 views

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kukusanya Ushuru nchini KRA, Humphrey Wattanga, alikuwa na wakati mgumu kueleza kamati ya bunge la taifa kuhusu fedha ni kwa nini hasa mamlaka hiyo inaunga mkono kifungu maalum kwenye mswada wa fedha wa mwaka wa 2025 ambacho kinaipa mamlaka hiyo uhuru wa kupata taarifa ya kibinafsi wa walipaji ushuru kwenye mitandao. Na kama anavyotuarifu Seth Olale, mamlaka hiyo imesema kwamba hatua hiyo itaboresha ulipaji ushuru.