Mamlaka ya kusambaza dawa yafungua kituo Kisumu

  • | Citizen TV
    226 views

    Mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA hii leo imefungua rasmi kituo cha kusambaza dawa itakayofaidi jumla ya kaunti kumi katika awamu ya kwanza. Waziri wa Afya Susan Nakhumicha anahudhuria hafla hiyo ambayo itashirikisha magavana kutoka kaunti zilizoko ukanda wa magharibi.