Skip to main content
Skip to main content

Manufaa ya SGR Kisumu

  • | Citizen TV
    4,084 views
    Duration: 2:48
    Wakazi wa Kisumu sasa wameelezea matumaini yao ya kuimarika kwa hadhi ya maisha kufuatia uzinduzi wa awamu ya pili ya ujenzi wa reli ya SGR. Kando na kutoa nafasi za ajira, wakazi hao pia wanaitaka serikali kuharakisha ulipaji wa fidia kwa wale watakaohamishwa kwao wakati wa ujenzi wa reli hiyo.