- 2,759 viewsDuration: 3:32Kwa siku ya nne, familia kadhaa zimekuwa zikifika katika hifadhi ya maiti ya city kutambua miili ya wapendwa wao walioangamia na mafuriko yaliyoshuhudiwa jijini Nairobi siku ya Ijumaa. Baadhi ya familia bado zinasubiri taarifa kuhusu waliko wapendwa wao. Ode Francis anaarifu huku uchunguzi wa maiti 15 zilizotambuliwa utafanyika hapo kesho .