Maoni kuhusu sheria mpya za barabarani zajadiliwa

  • | Citizen TV
    184 views

    Mamlaka ya usafiri wa umma NTSA imeandaa vikao vya umma katika Kaunti ya meru na kushirikisha kaunti za Tharaka Nithi, Isiolo na Marsabit, ili kupokea maoni ya wadau kuhusu sheria Mpya za usafiri wa Magari ya shule pamoja na Trela zenye uzani wa zaidi ya tani Tatu.