Maoni ya WaCongo baada ya hotuba ya Rais Tshisekedi

  • | VOA Swahili
    157 views
    Baada ya Rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kuhutubia taifa hapo jana, raia wa nchi hiyo wamekuwa na maoni tofauti katika wakati ambapo DRC inaelekea kufanya uchaguzi mkuu wa urais mwezi ujao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.