Maoni ya Wakenya kuhusu pendekezo la ukahaba usichukuliwe kama kosa la jinai

  • | VOA Swahili
    679 views
    Jaji Mkuu wa Kenya apendekeza ukahaba usichukuliwe kama kosa la jinai. Suala hili limeibua maoni mengi kati ya Wakenya. Ungana na mwandishi 3wetu wa Mombasa, Kenya akikuletea maoni ya wananchi kuhusu pendekezo hili. Endelea kusikiliza... #jajimkuu #ukahaba #kosalajinai #kenya #mombasa #maoni #voa #voaswahili #voamitaani