Maono ya wenyeji wa Nakuru kuhusu mawasiliano ya kisiasa

  • | Citizen TV
    553 views

    Je, wanasiasa wanatumia njia za kuridhisha kuwafikia wapigakura? Je, ungependa wanasiasa wawasiliane vipi na wapigakura? Je, wanasiasa huvuka mpaka katika maneno yao?