- 117 viewsDuration: 1:58Maandalizi ya maonyesho ya kimataifa ya kilimo yamenoga katika uwanja wa maonyesho wa jamhuri hapa jijini nairobi ambapo wajasiri amali, wakulima, wafanyibaishara na wageni wa kutoka humu nchini na nje ya nchi wanatarajiwa kuhudhuria.