Maonyesho ya kilimo ya makueni yakamilika huko Makindu

  • | Citizen TV
    152 views

    Maonyesho ya kilimo ya mwaka huu ya kaunti ya Makueni yametamatika huku wakulima kwenye kaunti hiyo ambayo ni mojawapo ya maeneo yenye ukame wakihimizwa kutumia mbinu za kusasa za ukulima ambazo zinaweza kustahimilu ukame na kuongeza Mavuno