16 Sep 2026 10:42 am | Citizen TV 33 views Maonyesho ya Sanaa ya Kenya-China 2026 yamefanyika katika mtaa wa Kibra jijini Nairobi. Serikali imehimiza kuimarishwa kwa utamaduni na ubunifu, huku Cheptumo akisema mikakati imewekwa kuwawezesha vijana.