Mapacha waliouzwa baada ya kuzaliwa waunganishwa kupitia TikTok

  • | BBC Swahili
    762 views
    Amy na Ano ni mapacha wanaofanana, lakini baada tu ya kuzaliwa walichukuliwa kutoka kwa mama yao na kuuzwa kwa familia tofauti. Miaka kadhaa baadaye, walijuana kwa bahati kupitia onesho la vipaji katika televisheni na video ya TikTok. Waligundua maelfu ya watoto wachanga huko Georgia waliibiwa kutoka hospitalini na kuuzwa. Walisafiri kutoka Georgia hadi Ujerumani, kwa matumaini ya kumpata 'mama yao mzazi' #bbcswahili #georgia #mapacha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw