Mapambano ya anga Myanmar

  • | BBC Swahili
    1,130 views
    Urusi inawapa wanajeshi wa Myanmar ndege za kivita za hali ya juu na kuwapa mafunzo marubani wao jinsi ya kuzitumia katika vita nchini humo. Zaidi ya miaka miwili baada ya mapinduzi, jeshi la nchi hiyo linakabiliwa na uasi wa nchi nzima. BBC imefuatila mapigano ya chini na angani na kukutana na kukutana wapiganiaji ambao wameongelea mikakati na saikolojia nyuma ya mapigano hayo. #bbcswahili #mynmar #mapigano #urusi