Mapendekezo ya amani kwa mkutano wa Mabanga unapendekezwa kuwa sheria

  • | West TV
    93 views
    Kamati ya amani kaunti ya trans nzoia inataka mkataba wa maelewano ya amani wa mwaka 2011 maarufu mabanga peace accord kupasishwa kwenye bunge la kaunti hiyo kuufanya kuwa sheria kwa manufaa ya jamii zinazoishi kaunti hiyo.